Home About Articles Ask the Sheikh
Machapisho

Tangazo la Pili: Subirini Hotuba ya Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mtukufu Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah

March 19, 2020
3867
استمع للمقال

Ameer2

- Tangazo la Pili -

Hotuba ya Amir wa Hizb ut Tahrir Mwanachuoni Mtukufu Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah, hafidhuLlāh Katika mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 99 ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Isubirini katika matangazo maalum kupitia Televisheni ya Al-Waqiyah

Baada ya Maghrib ya siku ya Jumapili, kuelekea usiku wa Jumatatu tarehe 28 Rajab al-Muharram 1441 H Inayosadifiana na tarehe 23/03/2020 M

Maandalizi ya Televisheni ya Al-Waqiyah / Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Share Article

Share this article with your network