Kwa wageni waheshimiwa wa ukurasa huu,
Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh,
Bila shaka mnajua kwamba kuna nyanja nyingine kubwa zaidi zinazonishughulisha pamoja na uwanja wa ukurasa huu, hivyo nikichelewa kujibu maswali yenu, au mazungumzo yangu nanyi yakipungua, au mawasiliano ya moja kwa moja kupitia mistari ya ukurasa huu yakipungua...
Basi niombeeni udhuru, mkijua kwamba ofisi yetu huwapokea wageni wa ukurasa huu wakati nikiwa nimeshughulika katika nyanja nyingine...
Na mimi nafuatilia habari za wageni wangu waheshimiwa kadiri niwezavyo, na kwa Allah ndiko kwenye kuomba msaada.
Wassalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Ndugu yenu na mwenzenu Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah
Ili kutembelea ukurasa wa Amiri wa Hizb ut-Tahrir kwenye Facebook Bonyeza hapa
Ili kutembelea ukurasa wa Amiri wa Hizb ut-Tahrir kwenye Twitter Bonyeza hapa