Alhamdulillah, na rehema na amani zimshukie Mtume wa Mwenyezi Mungu, jamaa zake, maswahaba zake, na waliomfuata, na baada ya hayo:
Kwa Umma wa Kiislamu, umma bora uliotolewa kwa watu:
كُنْتُمْ خَيْرَ أُمَّةٍ أُخْرِجَتْ لِلنَّاسِ تَأْمُرُونَ بِالْمَعْرُوفِ وَتَنْهَوْنَ عَنِ الْمُنْكَرِ وَتُؤْمِنُونَ بِاللهِ
"Mlikuwa bora ya Umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu." (QS. Ali 'Imran [3]: 110)
Kwa wabeba da'wah walio safi na wachamungu - "na hatumtakasi yeyote mbele ya Mwenyezi Mungu" - ambao husema maneno mazuri na kutenda matendo mema, na Mwenyezi Mungu amewasifu wenye sifa hizi:
وَمَنْ أَحْسَنُ قَوْلًا مِمَّنْ دَعَا إِلَى اللهِ وَعَمِلَ صَالِحًا وَقَالَ إِنَّنِي مِنَ الْمُسْلِمِين
"Na nani mbora wa kusema kuliko amuitaye (watu) kwa Mwenyezi Mungu, na akatenda mema, na akasema: Hakika mimi ni miongoni mwa Waislamu?" (QS. Fussilat [41]: 33)
Kwa wageni watukufu wa ukurasa huu wanaoufuatilia kwa haki na ukweli, na wanaotafuta kheri iliyobebwa ndani yake, Mwenyezi Mungu awalipe kheri.
Nawapongeza ninyi nyote kwa ajili ya Idul-Fitr iliyobarikiwa.. na Mwenyezi Mungu ayakubali matendo mema.. na Mwenyezi Mungu ndiye Msimamizi wa watu wema...
Ndugu Wapendwa:
Sikukuu hii inakuja huku dola chafu ya Mayahudi ikitenda jinai mbaya dhidi ya binadamu, miti na mawe huko Gaza na Palestina yote, na inafanya hivyo kwa uungaji mkono wa Amerika inayowapa mabomu, makombora na ndege.. Na ingawa si ajabu kwa chombo cha Mayahudi kufanya hivyo kwa uungaji mkono wa Amerika, kwani wao ni maadui wa Uislamu na Waislamu, lakini cha ajabu ni kwamba hakuna hata mmoja miongoni mwa watawala katika nchi za Kiislamu, na hasa wale walio jirani na Palestina, atakayeanzisha harakati ya kulihamasisha jeshi lake kuinusuru Gaza, watu wake, Msikiti wa Al-Aqsa na mazingira yake, na kuking'oa chombo cha Mayahudi kuanzia mizizi yake, na kisha kuirudisha Palestina yote kwa watu wake.. Je, yule aliyeikalia ardhi ya Waislamu kwa mabavu na kuwafukuza watu wake hatostahiki kupigwa vita na majeshi ya Kiislamu na kumfukuza humo kama alivyowafukuza watu wake?
وَاقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ وَأَخْرِجُوهُمْ مِنْ حَيْثُ أَخْرَجُوكُمْ
"Na waueni popote mnapowakuta, na wafukuzeni popote walipokufukuzeni." (QS. Al-Baqarah [2]: 191)
Hivi watawala hawalitambui jambo hili?! Lakini uovu wao umewatawala, kwani wao ni watiifu mbele ya makafiri wakoloni, hasa Amerika; hawakatai ombi lake kwa ajili ya kulinda viti vyao vya enzi vilivyopinda.
قَاتَلَهُمُ اللهُ أَنَّى يُؤْفَكُون
"Mwenyezi Mungu awaangamize! Namna gani wanavyogeuzwa?" (QS. At-Tawbah [9]: 30)
Enyi Ndugu:
Vita hivi vimefichua mambo mawili muhimu:
La kwanza ni udhaifu na udhalili wa Mayahudi kama Mwenyezi Mungu alivyowataja katika Kitabu Chake:
ضُرِبَتْ عَلَيْهِمُ الذِّلَّةُ أَيْنَ مَا ثُقِفُوا إِلَّا بِحَبْلٍ مِنَ اللهِ وَحَبْلٍ مِنَ النَّاسِ
"Wamepigwa na udhalili popote walipokutikana, isipokuwa (wakishika) kamba ya Mwenyezi Mungu na kamba ya watu." (QS. Ali 'Imran [3]: 112)
Na wameshakata kamba ya Mwenyezi Mungu baada ya Mitume wao na hakuna kilichobaki kwao isipokuwa kamba ya watu (Amerika na wafuasi wake), na watu walio na hali hii si watu wa kupata ushindi katika mapigano.. Kwani zaidi ya miezi sita imepita tangu mashambulizi yao ya kinyama dhidi ya watu wa Gaza bila wao kufikia malengo yao, ingawa wanapigana na kikundi kidogo kwa idadi na zana..
La pili ni usaliti wa watawala katika nchi za Kiislamu, kwani hawakuyahamasisha majeshi kuinusuru Gaza na watu wake, kana kwamba jambo hilo haliwahusu! Au wapo katika msimamo wa kutoegemea upande wowote, bali wako karibu zaidi na adui.. Wanatazama kinachoendelea, na mbora wao ni yule anayehesabu mashahidi na majeruhi:
صُمٌّ بُكْمٌ عُمْيٌ فَهُمْ لَا يَرْجِعُونَ
"Viziwi, bubu, vipofu; kwa hivyo hawatarejea." (QS. Al-Baqarah [2]: 18)
Mambo haya mawili yanapaswa kuwasukuma walio na ikhlasi miongoni mwa watu wa nguvu katika majeshi ya Kiislamu kutangaza uhamasishaji wa jumla kwa ajili ya kutekeleza faradhi ya Mwenyezi Mungu ya kupigana na Mayahudi waliovamia Palestina:
وَلَا تَهِنُوا فِي ابْتِغَاءِ الْقَوْمِ إِنْ تَكُونُوا تَأْلَمُونَ فَإِنَّهُمْ يَأْلَمُونَ كَمَا تَأْلَمُونَ وَتَرْجُونَ مِنَ اللهِ مَا لَا يَرْجُونَ
"Wala msilegee katika kuwatafuta watu (adui zenu). Ikiwa mnaumia, basi nao pia wanaumia kama mnavyomia. Nanyi mnamtumaini Mwenyezi Mungu wasiyoyatumaini wao." (QS. An-Nisa [4]: 104)
Na kwa namna hiyo mtakiondoa chombo chao kwani wao ni dhaifu mno mbele ya Mwenyezi Mungu kuliko kupata ushindi katika mapigano.. Na hapo ndipo ahadi ya Mwenyezi Mungu itakapotimia:
فَإِذَا جَاءَ وَعْدُ الْآخِرَةِ لِيَسُوءُوا وُجُوهَكُمْ وَلِيَدْخُلُوا الْمَسْجِدَ كَمَا دَخَلُوهُ أَوَّلَ مَرَّةٍ وَلِيُتَبِّرُوا مَا عَلَوْا تَتْبِيرًا
"Basi itakapokuja ahadi ya mwisho (Tukawaachia) ili waziharibu sura zenu, na waingie Msikitini kama walivyoingia mara ya kwanza, na ili waharibu kwa uangamivu kila walichokiteka." (QS. Al-Isra [17]: 7)
Haya basi, enyi majeshi ya Kiislamu, kimbilieni kuwanusuru ndugu zenu huko Gaza, na ikiwa mifumo ya utawala wa kidikteta iliyopo katika nchi za Kiislamu itasimama mbele yenu, basi wadhibitini kwa kila namna.. na simamisheni utawala wa Mwenyezi Mungu badala yao, Khilafah kwa njia ya Utume, ili kutimiza bishara ya Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ:
«ثُمَّ تَكُونُ مُلْكاً جَبْرِيَّةً فَتَكُونُ مَا شَاءَ اللهُ أَنْ تَكُونَ، ثُمَّ يَرْفَعُهَا إِذَا شَاءَ أَنْ يَرْفَعَهَا، ثُمَّ تَكُونُ خِلَافَةً عَلَى مِنْهَاجِ النُّبُوَّةِ، ثُمَّ سَكَتَ»
"...Kisha utakuwako utawala wa kidikteta (wa lazima), nao utakuwako kwa muda anaotaka Mwenyezi Mungu uweko. Kisha Atauondoa Atakapotaka kuuondoa. Kisha itakuwako Khilafah kwa njia ya Utume, kisha akanyamaza." Musnad Imam Ahmad.. Na wakati huo, Khalifa, wasaidizi wake, na askari wa Kiislamu kuanzia wa cheo cha juu kabisa hadi cha chini kabisa, watakuwa wanatoka katika ushindi mmoja kwenda ushindi mwingine, wakipiga Takbir na Umma ukipiga Takbir pamoja nao, wakiwa na nguvu kupitia kwa Mola wao na wenye heshima kupitia dini yao, kiasi kwamba adui hatathubutu kuwa na chombo chochote katika ardhi ya Uislamu..
وَيَوْمَئِذٍ يَفْرَحُ الْمُؤْمِنُونَ * بِنَصْرِ اللهِ يَنْصُرُ مَنْ يَشَاءُ وَهُوَ الْعَزِيزُ الرَّحِيمُ
"Na siku hiyo waumini watafurahi * Kwa nusura ya Mwenyezi Mungu. Humunusuru amtakaye, Naye ni Mwenye Nguvu, Mwenye kurehemu." (QS. Ar-Rum [30]: 4-5)
Mwishoni enyi ndugu, ninawapongeza kwa sikukuu ya Idul-Fitr, nikimuomba Mwenyezi Mungu (swt) tuwe tumetekeleza saumu ya mwezi huu mtukufu na kusimama kwake kwa namna inayomridhisha Mwenyezi Mungu (swt) na Mtume Wake ﷺ ... Kadhalika namuomba (swt) kwamba sikukuu hii iwe mwanzo wa kheri, baraka na utukufu kwa Uislamu na Waislamu.
وَاللهُ غَالِبٌ عَلَى أَمْرِهِ وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَعْلَمُون
"Na Mwenyezi Mungu ana nguvu juu ya jambo Lake, lakini watu wengi hawajui." (QS. Yusuf [12]: 21)
Wassalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Mosi ya Shawwal 1445 H Ndugu yenu Sawa na 10/04/2024 M Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah