Home About Articles Ask the Sheikh
Uchambuzi

Tangazo la Tatu: Kaeni Tayari kwa Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mvumbuzi Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah

March 21, 2020
3660
استمع للمقال

Ameer2

- Tangazo la Tatu -

Kuhusu Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir Mwanachuoni Mvumbuzi Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah (Mwenyezi Mungu amhifadhi) Katika Maadhimisho ya Miaka 99 tangu Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Kaeni tayari kuifuatilia kupitia matangazo maalum kwenye Chaneli ya Al-Waqiyah

Baada ya Magharibi ya siku ya Jumapili, kuamkia Jumatatu, 28 Rajab Al-Muharram 1441 H Inayolingana na tarehe 23/03/2020 M

Imetayarishwa na Al-Waqiyah TV / Ofisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Share Article

Share this article with your network