Home About Articles Ask the Sheikh

Archive and Articles

Articles Library Description

Maswali na Majibu 19/08/2025

Jibu la Swali: Matukio ya Armenia na Azabajani

Uwepo wa Urusi katika eneo la kusini mwa Caucasus ulitikisika (baada ya Armenia na Azabajani kutiia tangazo la pamoja na Marekani kuhusu suluhu ya amani na makubaliano katika nyanja za biashara na usalama baada ya mzozo wa zaidi ya miaka 35 kati ya nchi hizo mbili jirani.. Al Jazeera 2025/8/15) Azabajani na Armenia zilikuwa zimetoa taarifa ya pamoja mnamo 2025/8/11, kufuatia makubaliano yaliyosainiwa kati yao huko Washington mnamo 2025/8/8, zikiomba pande zingine kutatua kundi la Minsk lililoanzishwa mnamo 1992 kutatua shida kati ya

Soma zaidi
Maswali na Majibu 17/07/2025

Jibu la Swali: Taasisi katika Nchi za Kiislamu

Swali: Katika ukurasa wa 80 wa kitabu cha Dhana za Hizb ut-Tahrir - mstari wa kumi kutoka juu, kumeandikwa yafuatayo: (Bali inafanya kazi kung'oa hali zilizowekwa na kafiri mkoloni kutoka kwenye mizizi yake, kwa kukomboa nchi, taasisi na mawazo, kutoka kwa uvamizi,). Mwisho wa nukuu. Nini maana ya neno (na taasisi)?

Soma zaidi
Maswali na Majibu 12/05/2025

Jibu la Swali: Dola ya Ndani (Deep State)

Makala hii inafafanua dhana ya "Dola ya Ndani" (*Deep State*) na jinsi inavyofanya kazi katika mifumo ya kisiasa nchini Uturuki, Marekani, na Uingereza. Pia inaelezea tofauti kati ya nguvu hizi za siri za ndani na ushawishi wa kikoloni, ikisisitiza mtazamo wa Kiislamu kuhusu utawala na mabadiliko ya kisiasa.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 04/09/2024

Jibu la Swali: Ni Nini Kinachotarajiwa Kutokana na Mazungumzo ya Vita vya Maangamizi huko Gaza?

Mazungumzo yanayoendelea kuhusu Gaza ni mbinu ya hadaa ya Marekani kutoa muda zaidi kwa kiandishi cha Kiyahudi kuendeleza maangamizi huku yakizuia majeshi ya Waislamu kuingilia kati. Suluhisho pekee la kweli ni kuing'oa dola ya Kiyahudi kupitia jeshi la Kiislamu chini ya kivuli cha Ukhalifa, kwani suluhisho la dola mbili ni usaliti kwa ardhi takatifu ya Palestina.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 08/07/2024

Jibu la Swali: Ukweli kuhusu Makubaliano ya Petrodola

Makala haya yanachambua ukweli wa kihistoria kuhusu makubaliano ya petrodola ya mwaka 1974 kati ya Marekani na Saudi Arabia na jinsi yalivyosaidia kudumisha utawala wa dola baada ya kuanguka kwa mfumo wa dhahabu. Pia, yanafafanua kwa nini kundi la BRICS haliwezi kuwa mbadala wa kweli na kusisitiza kuwa suluhisho pekee la kiuchumi ni kurejea kwenye mfumo wa sarafu ya dhahabu na fedha uliowekwa na Uislamu.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 26/05/2024

Jibu la Swali: Kupiga Kura kwa Ajili ya Demokrasia ni Haramu

Sheikh Ata bin Khalil Abu al-Rashtah anafafanua kuwa kupiga kura katika mifumo ya kidemokrasia ni haramu na haiwezi kuhalalishwa kwa kutumia kaida kama "madhara madogo zaidi" au "dharura." Jibu hili linasisitiza kuwa maslahi ya kweli yanapatikana pekee katika kufuata hukumu za Sharia na si kupitia ushiriki katika mifumo ya kikafiri ya kutunga sheria.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 23/03/2024

Jibu la Swali: Masuluhisho Yanayopendekezwa kwa ajili ya Baada ya Vita Dhidi ya Gaza

Makala hii inachambua kwa kina mipango mbalimbali ya kikoloni inayopendekezwa na Marekani na kiyan cha kiyahudi kwa ajili ya mustakabali wa Gaza baada ya vita vya sasa. Inasisitiza kuwa suluhisho la pekee la kisheria ni kupitia ukombozi kamili wa ardhi ya Palestina unaotekelezwa na majeshi ya Kiislamu chini ya kivuli cha Khilafah kwa njia ya Utume.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 16/02/2024

Jibu la Swali: Aina za Fikra

Jibu hili la Amir wa Hizb ut-Tahrir linafafanua aina tatu kuu za fikra: ya kijuujuu, ya kina, na inayoangaza (mustanir). Maelezo haya yanabainisha kwa nini kufikiri kwa kina pekee hakutoshi kumuinua mwanadamu bila ya kuwa na mwangaza wa kifikra unaofikia matokeo ya kweli.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 04/01/2024

Jibu la Swali: Muungano wa Mkuu wa Jeshi la Pakistan na Amerika na Utii Wake Kwake

Makala hii inachambua ziara ya Jenerali Asim Munir nchini Marekani na jinsi inavyoimarisha utii wa jeshi la Pakistan kwa maslahi ya Washington. Inabainisha athari za ushirikiano huu kwa masuala ya kimkakati kama Kashmir, Afghanistan, na Palestina, ikisisitiza kuwa suluhisho la kweli kwa Umma liko katika kusimamisha Khilafah kwa Njia ya Utume.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 20/09/2023

Jibu la Swali: Ukweli wa Hizb ut-Tahrir baada ya kusimamishwa kwa Khilafah

Makala hii inafafanua nafasi ya Hizb ut-Tahrir baada ya kusimamishwa kwa Khilafah, ikisisitiza kuwa lengo la chama ni kutekeleza mfumo wa Kiislamu na wala si kuwapa madaraka wanachama wake kwa ajili ya maslahi ya kibinafsi. Inabainisha pia jinsi uhasibu wa viongozi utakavyoendelea kupitia Kamati za Wilayah ili kuhakikisha maslahi ya Umma yanalindwa kikamilifu kwa mujibu wa Sharia.

Soma zaidi
Maswali na Majibu 11/07/2023

Jibu la Swali: Kumtegemea Dhalimu na Kanuni ya Madhara Madogo Zaidi

Makala hii inafafanua hukumu ya kisheria kuhusu kuwategemea watawala madhalimu na matumizi sahihi ya kanuni ya "madhara madogo zaidi" katika masuala ya kisiasa. Inabainisha kuwa kanuni hii inatumika tu pale ambapo mtu analazimika kufanya moja kati ya haramu mbili bila uwezo wa kuziepuka zote, na si kisingizio cha kushiriki katika mifumo isiyo ya Kiislamu.

Soma zaidi
Masuala 27/06/2023

Salamu za Pongezi za Amir wa Hizb ut-Tahrir, Mwanachuoni Mtukufu Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah kwa Wazuruaji wa Kurasa Zake kwa Mnasaba wa Idul Adh'ha 1444 H - 2023 M

Amir wa Hizb ut-Tahrir anatoa pongezi za Idul Adh'ha kwa Umma wa Kiislamu na wabebaji da'wah, akimuomba Mwenyezi Mungu alete kheri na kusimamisha Khilafah. Salamu hizi ni dua ya kuomba nafuu kwa Waislamu kutokana na majanga na kuimarisha utukufu wa Uislamu duniani kote.

Soma zaidi
2 3 ... 20